Perez; Cristiano Ronaldo hakuna kwenda Morroco.

Cristiano Ronaldo.
Raisi wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez amesema ni marufuku kwa Cristiano Ronaldo kwenda Morroco kuonana na rafiki yake mcheza ngumi aitwaye Badr Hari. Perez ametoa onyo hilo kali kwa Ronaldo akiamini kwenda kwake huko kumemfanya uwezo wake kupungua zaidi awapo uwanjani. Imefahamika kuwa Cristiano Ronaldo amekuwa akisafiri mara nne kwa wiki yaani Jumatatu mpaka Alhamisi kila siku saa tisa alasiri Real Madrid wanapomaliza mazoezi Ronaldo husafiri akitumia ndege yake ya binafsi na kuja katika bara la Africa kule Morocco katika mji wa Marakhesh kuonana na rafiki yake huyo na habari zaidi zimekuwa zikielezea uhusiano uliopo kati yao ni zaidi ya urafiki wa kawaida, sasa sitaki kuchimbua zaidi kujua ni urafiki wa aina gani walio nao kutokana mimi ni shabiki mkubwa wa mwanasoka huyu. Pia Perez amesema atamuomba rafiki yake Mohammed VI ambaye ni mfalme wa Morocco amueleze kama Ronaldo atakwenda kiujanjaujanja.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment