Thierry Henry; Aponda uamuzi wa Wenger.

Thierry Henry.
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na sasa ni mchambuzi wa soka Thiery Henry akiwa katika uchambuzi wa mechi ya jana iliyowakutanisha Arsenal na Chelsea na kumalizika kwa Chelsea kushinda mchezo huo kwa bao moja kwa sifuri lililowekwa kimiani na mshambuliaji hatari wa klabu ya Chelsea Diego Costa. Henry alisema kuwa kumtoa Olivier Giroud na kumuacha Walcot na Cambell wakiwa wote uwanjani ni kosa kwa kuwa wanafanya kazi moja na angeweza kumtoa cambell na kumuacha Giroud na Walcot wote wakiwa wanarudi kukaba na kushambulia, Ila pia Henry alisisitiza kuwa ni rahisi zaidi kusema hayo ukiwa nje kwa kuwa huna presha ila kwa Wenger alihitaji sekunde 15 tu kufanya maamuzi baada ya Per Mertersacker kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Diego Costa.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment