Klabu ya Real Madrid jana ilikuwa ugenini kwenye jiji la Sevilla ikipambana na timu ya Real Betis. Pamoja na kupiga mpira mkubwa lakini bado vijana wa Real Betis waliwakamata Real Madrid ambao ndio walisawazisha bao baada ya kutangulia kufungwa. Baada ya mechi beki wa kati wa klabu hiyo mreno Pepe amesema sasa kuchukua La Liga itabidi wafanye kazi kubwa mnoo ukizingatia wako nyuma kwa pointi 4 huku wakiwa wamecheza zaidi ya mahasimu wao Barcelona ambao bado wana mechi za mkononi.
(+VIDEO) Madrid washikwa shati La Liga.
-Klabu ya Real Madrid jana ilikuwa ugenini kwenye jiji la Sevilla ikipambana na timu ya Real Betis. Pamoja na kupiga mpira mkubwa lakini bado vijana wa Real Betis waliwakamata Real Madrid ambao ndio walisawazisha bao baada ya kutangulia kufungwa. Baada ya mechi beki wa kati wa klabu hiyo mreno Pepe amesema sasa kuchukua La Liga itabidi wafanye kazi kubwa mnoo ukizingatia wako nyuma kwa pointi 4 huku wakiwa wamecheza zaidi ya mahasimu wao Barcelona ambao bado wana mechi za mkononi.
0 comments:
Post a Comment