(+Video) LVG amchapa kibao mwandishi kabla hajaondoka zake.

Louis Van Gaal.
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United mholanzi Louis Van Gaal jana asubuhi aliahirisha mazoezi ya mchana na akaamua kwenda zake Uholanzi kumalizia wiki end yake baada ya kulizwa bao moja kwa sifuri juzi na klabu ya Southampton kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Old Trafford. Haijajulikana ni kwanini ameahirisha mazoezi hayo lakini kabla hajaondoka, asubuhi alikuwa na mkutano na waandishi wa habari kama ilivyo kawaida baada ya kila mechi, katika mkutano huo kuna mwandishi alimuuliza swali la kizushi vipi kuhusu tetesi kuwa unataka kumsajili Ashley Cole, ndipo Van Gaal akampiga kakofi kidogo kwenye uso huku akimwambia akija United hatacheza mwaka mzima.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment