Gabriel Paulista arudi kwao.

Gabriel Paulista.
Beki wa kati wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Brazil Gabriel Paulista alipata majeraha ya hamstring kabla ya mechi ngumu dhidi ya Leicester City Jumapili na majeraha hayo yalimfanya kukosa mchezo huo , Taarifa zinaeleza kuwa beki huyo kisiki amekwenda kwao Brazil katika klabu yake ya zamani ya Victoria kupata matibabu. Gabriel aliichezea Victoria katika kipindi cha mwaka 2010 mpaka 2013. Pia Gabriel ameichezea Arsenal jumla ya mechi 16 tangu ajiunge na miamba hiyo ya London.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment