Wenger aweka wazi kikosi chake dhidi ya Hull City.

Danny Welbeck.
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal, Arsen Wenger akiongea na waandishi wa habari mapema leo asubuhi ametoa taarifa mbalimbali mojawapo ikiwa ya kikosi chake kitakachopambana na Hull City kwenye kombe la FA week end hii. Wenger amemtaja Danny Welbeck kuwa anauwezo mkubwa wakuanza kwenye mchezo huo huku Mohamed Elneny akijumuishwa kwenye eneo la kiungo pia golini atakuwa ni kipa kutoka Colombia David Ospina. Wenger pia ametoa taarifa za majeruhi wa timu hiyo na kusema kuwa beki wa kati Laurent Koscienly atakuwepo kwenye kikosi hicho week end hii huku Gabriel Paulista akiwa nje kwa muda wa wiki moja, Pia Jack Wilshere hayuko mbali sana na anaweza akarejea baada ya wiki kama tatu hivi.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment