Hivi ndivyo Ozil alivyoandika kwenye mtandao wa Instagram kuelekea mechi ya Barca.

Mesut Ozil.
Kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Arsenal Mesut Ozil amewataka mashabiki wa klabu ya Arsenal kuwa kwenye ubora wao wa kushangilia ili wawape nguvu ya kufanya vizuri zaidi kwenye mechi yao dhidi ya Barcelona
maana kwa kufanya hivyo watakuwa wameisaidia timu sana na watakuwa ni wachezaji wa kumi na mbili.
Ujumbe aliouandika Ozil kwenye mtandao wa Istagram.

Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment