Man U yaua huku ikipoteza wengine wawili kwa majeruhi.

Keane.
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United jana alikuwa na furaha baada ya timu yake kuichapa timu ya Shrewsbury mabao matatu kwa bila kwenye kombe la FA, mabao ya Manchester United yaliwekwa kimiani na beki wa kati Chris Smalling huku bao la pili likiwekwa kimiani na Juan Mata na la tatu alipiga Jesse Lingard, Nyota wa mchezo huo alikua ni Juan Mata aliyeonyesha soka safi baada ya kupiga bao moja na kutengeneza lingine. Pia mchezo huo ulishuhudia Manchester United ikipoteza wachezaji wawili makinda kwa kuwa na majeruhi, beki wa kushoto Cameron Borthwick na mshambuliaji Keane waliumia kwenye mchezo huo na taarifa zilitolewa na kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment