Manchester United yapata kiungo wa bei mbaya.

Renato Sanchez.
Taarifa za ndani ya klabu ya Manchester United zinaeleza kuwa klabu hiyo inakaribia kumaliza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa klabu ya Benfica Renato Sanchez (18). Sanchez ni raia wa Ureno na ni moja ya viungo bora kwa sasa kwenye ligi ya Ureno. Manchester United watalipa kiasi cha Euro milioni 40 kwanza kabla ya kumalizia 20 hapo baadae, Mpaka sasa makubaliano yamebaki kwa mchezaji mwenyewe na Manchester United huku klabu yake ikiwa imekubali tayari.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment