Mourinho asema hatasita kurudi kwenye klabu hii siku moja.

Jose Mourinho.
Kocha mwenye vituko vingi duniani Jose Mourinho ambaye kwa sasa anahusishwa na kibarua cha kuifundisha klabu ya Manchester United ameelezea hisia zake akiwa kama kocha aliyepata mafanikio makubwa kwa muda mfupi, Akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na hatma yake kisoka Mourinho amesema angependa siku moja kurudi tena na kuifundisha klabu ya Inter Milan hata kama sio siku za usoni ila hapo baadae akihusishwa na timu hiyo hataweza kukataa kurudi Italia kuifundisha Inter Milan. Mourinho aliwahi kuifundisha klabu ya Inter Milan na alifanikiwa kupata nayo mafanikio makubwa ikiwamo ni pamoja na kushinda mataji mawili ya Seria A pamoja na klabu bingwa Ulaya na klabu bingwa ya dunia.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment