Wenger akutana na upinzani wa Newcastle kwa kiungo huyu, Wilshere kurejea wiki ijayo, .

Arsen Wenger.
Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya magazeti mbalimbali barani Ulaya siku ya leo vimegusia suala la kocha wa klabu ya Arsenal, Arsen Wenger kumtaka kiungo wa timu ya Manchester United Michael Carrick. Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa klabu ya Newcastle ambayo inamfuatilia kiungo huyo kwa karibu.
Michael Carrick.
Taarifa nyingine zinaeleza kuwa kiungo wa klabu ya Arsenal Jack Wilshere wiki ijayo ataanza rasmi mazoezi na kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Jack Wilshere.

Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment