Ozil akaribia kuvunja rekodi Premier League.

Mesut Ozil.
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani, Mesut Ozil, jana alifanikiwa kupiga pasi ya bao la mwisho na ushindi kwenye mchezo uliowakutanisha na viongozi wa ligi hiyo Leicester City, Pasi hiyo inamfanya kuwa na assist 17 mpaka sasa na amebakiza assist tatu tu kuifikia rekodi ya gwiji Thierry Henry ambayo ni assist 20 kwa msimu mmoja. Wachambuzi wanaona kuwa Ozil anaweza kuivunja rekodi hiyo kutokana na uwezo wake kuwa mkubwa na huku mechi zikiwa bado zimebaki nyingi.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment