Mchezaji wa klabu ya Trazbonspor ya Uturuki Salih Dursin jana alitolewa nje kwa kumuonyesha refa wa mchezo huo kadi nyekundu. Dursin aliokota kadi hiyo na kumuonyesha refa kwa hasira baada ya mchezaji mwenzake wa pili kutolewa nje kwa kuonyeshwa kadi nyekundu. Kadi hiyo ilianguka wakati refa anasukumana na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumuonyesha mchezaji mwingine wa klabu hiyo kadi nyekundu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment