Arsenal yapanda dau kwa kuingo wa Bundesliga.
-Taarifa za usajili kwenye magazeti mbalimbali barani Ulaya zinadai kuwa klabu ya Arsenal imekwisha kupanda dau kwa kiungo Granit Xhaka anayekipiga katika klabu ya Borrusia Monchengladbach. Inadaiwa kuwa Arsenal wamekwishatuma ofa ya Euro milioni 43 kwa ajili ya kumnasa kiungo huyo mwenye miaka 23. Sky Sports wanadai kuwa Arsen Wenger amekwisha kutana na baba wa mchezaji huyo na kujadiliana kuhusu mambo kadhaa.
0 comments:
Post a Comment