Usmanov ataka Wenger abaki Arsenal.


Tajiri wa pili anayemiliki hisa asilimia kubwa (30%) za klabu ya Arsenal Alisher Usmanov akiongea na kituo cha television cha Russia-24 amesema anaamini kuwa kocha wa sasa wa klabu hiyo ni mtu sahihi na asingependa afukuzwe katika klabu hiyo maana haoni kama ana makosa, Usmanov aliongeza kwa kusema kuwa kila klabu inapanda na kushuka kwaiyo watu wasimlaumu Wenger kwa kuwa hiki ni kipindi cha mpito tu na si vinginevyo. Arsen Wenger amekuwa kwenye klabu ya Arsenal miaka 20 akiwa kama kocha mkuu.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment