Iwobi afanikiwa kuichezea Nigeria mechi yake ya kwanza.

Alex Iwobi akijiandaa kuingia uwanjani jana.

Nyota wa klabu ya Arsenal Alex Iwobi jana alifanikiwa kuichezea timu yake ya taifa mechi yake ya kwanza ya kimataifa wakati kocha wa Nigeria Daniel Amokachi alipomuingiza huku zikiwa zimesalia dakika kumi mpira kumalizika. Mechi hiyo ya jana kati ya Nigeria na Egypt iliisha kwa suluhu ya bao moja kwa moja (1-1) na ilikuwa ni mashindano ya kufuzu kucheza African Cup of Nations kundi G na ilipigwa katika uwanja wa Ahmadu Bello.


Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment