 |
Alex Iwobi. |
Kiungo wa Arsenal Alex Iwobi ambaye ni raia wa Nigeria na pia ni mjomba wa nyota wa soka wa zamani Jay Jay Okocha siku za hivi karibuni amekuwa ni kivutio kikubwa kwa mashabiki wa Arsenal kiasi kwamba asipoonekana kwenye benchi la Arsenal mashabiki wanakuwa na hasira dhidi ya kocha wao Wenger kwa kuwa wana amini kuwa kiwango cha Iwobi ni zaidi ya Theo Walcot na Oxlaide Chamberlain. Iwobi juzi usiku alionyesha kiwango cha kushangaza dhidi ya FC Barcelona na kupelekea mashabiki wa timu hiyo kuchanganyikiwa na kiwango chake. Arsenal leo watakuwa uwanjani mapema saa tisa alasiri wakicheza dhidi ya Everton kwenye mchezo wa ligi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment