Louis Van Gaal asema anampenda sana Rashford.
-Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal baada ya mechi dhidi ya mahasimu wao Manchester City kumalizika kwa United kushinda kwa bao moja kwa bila, bao ambalo lilifungwa na kinda mwenye miaka 18 Marcus Rashford, Van Gaal amesema kati ya vitu anavyovipenda kwa sasa ni kinda huyo na kuongeza kusema kuwa Rashford ni mshambuliaji hatari sana na anamuamini ndio maana anampa nafasi hiyo ya mshambuliaji wa kati. Rashford ameweka historia ya kuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga kwenye derby ya Manchester.
0 comments:
Post a Comment