Manchester United yamwaga pesa kwa Nyota wa Dortmund.


Taarifa za ndani ya klabu ya Manchester United zinadai kuwa klabu hiyo imepanga kumtolea dau nono la paundi milioni 60 mchezaji bora wa Afrika Pierre-Emerick Aubameyang anayekipiga katika klabu ya Borrusia Dortmund. Manchester United inataka kufanya dili hilo bila kujali ni nani atakuwa kocha wa timu hiyo msimu ujao. Tetesi hizi za usajili zimepatikana katika gazeti la Daily Mirror la nchini Uingereza.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment