Mashabiki wa soka duniani wahuzunishwa na ugaidi uliofanyika hivi punde nchini Ubelgiji.

Baada ya shambulio kutokea mjini Brusells nchini Ubelgiji.
Mashabiki wa soka duniani wameonyesha kuhuzunishwa na kitendo cha kigaidi kilichotokea hivi punde katika uwanja wa ndege wa Brusells nchini Ubelgiji na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 11 na majeruhi wengi ambao idadi yao bado haijajulikana. Wadau mbalimbali wa soka duniani wakiwamo wachezaji wameguswa na kitendo hicho cha kinyama na wameonyesha hisia zao kwenye mitandao ya kijamii haswa twitter.

Baadhi ya tweets zikionyesha namna wadau wa soka walivyohuzunishwa na tukio hilo la kigaidi.







Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment