 |
Petr Cech. |
Petr Cech awa mchezaji bora wa nchi yake ya Czech Republic kwa mwaka wa 2015/2016 na alikabidhiwa tuzo yake hiyo kama anavyoonekana kwenye picha. Petr Cech amekuwa akifanya vizuri kwenye ligi kuu ya Uingereza haswa alipohamia Arsenal akitokea Chelsea kwa ada ya paundi milioni 10, Cech amekuwa mhimili mkubwa kwenye klabu hiyo na hata kuisaidia kukaa kwenye nafasi nzuri ya kugombania ubingwa wa England. Cech amekuwa majeruhi kwa muda wa wiki nne lakini anatarajiwa kurudi uwanjani baada ya mechi za kimataifa kumalizika.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment