 |
Cristiano Ronaldo. |
Taarifa zilizotolewa hivi punde na madaktari wa klabu ya Real Madrid zimeleta wasiwasi mkubwa kwa mashabiki na uongozi mzima wa klabu hiyo kufuatia majibu ya vipimo alivyofanyiwa nyota wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo kabla ya mechi dhidi ya Manchester City juzi Jumanne. Timu hiyo ya madaktari wamesema Ronaldo anasumbuliwa na matatizo mengine kwenye msuli wa paja lake la upande wa kulia na matatizo hayo yanaweza kumweka nje kwa mechi nyingi zijazo, ila pia madaktari hao wamedokeza kuwa wanaweza kufanya jitihada za zaidi ili nyota huyo aweze kurudi mapema uwanjani.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment