Lukaku aitaja timu anayotamani kuichezea.

Romelu Lukaku.
Tetesi za usajili kwenye magazeti mbalimbali barani ulaya siku hii ya leo zimeripoti kuhusiana na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Everton Romelu Lukaku, Inasemekana Lukaku amewataarifu watu wake wa karibu kuwa angetamani sana kurudi katika klabu yake ya zamani ya Chelsea ambayo aliichezea kwa muda mfupi kabla kocha Jose Mourinho hajamtoa kwa mkopo kwenda Everton. Lukaku anasema kuwa anahisi bado kuna kitu hajaifanyia Chelsea na angependa siku moja kurudi Stamford Bridge ili akakamilishe kazi hiyo.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment