Mashabiki waisusia Arsenal dhidi ya West Brom.


Kesho Arsenal watapambana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya klabu ya West Bromwich Albion kwenye uwanja wa Emirates, Mashabiki wa klabu hiyo walionunua ticket mpaka sasa ni wachache sana na wengine wamegoma kununua ticket kwa sababu ya kutoridhishwa na uongozi wa klabu hiyo na hata watakaoingia uwanjani pia wamepanga kuondoka uwanjani hapo itakapofika dakika ya 75 kwa kile wanachodai kuwa wanataka mabadiliko ya kiuongozi ya klabu hiyo. Imekuwa ni tabia kwa Arsenal kuongoza ligi mpaka kipindi cha mwezi wa kwanza au wa pili lakini inapofikia kipindi cha mwezi wa tatu mpaka wa tano Arsenal wanakuwa wakigombania nafasi ya nne kitu ambacho kinawakera sana mashabiki hao.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment