Klabu ya Manchester United imeanza mbio za kuinasa saini ya mchezaji wa Arsenal ambaye inasemekana atawekwa sokoni majira ya joto, Man United imeweka nia ya kumsajili Alex Oxlaide-Chamberlaine majira ya joto na inasemekana kocha Jose Mourinho anayetarajiwa kutua klabuni hapo msimu ujao ndiye aliyetoa pendekezo la kumtaka nyota huyo wa timu ya taifa ya England, Pia habari za kuaminika zinaeleza kuwa klabu ya Manchester United ipo katika nafasi nzuri ya kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa klabu ya Benfica Renato Sanchez mapema kabla ya mashindano ya Euro hayajaanza.
![]() |
Renato Sanches. |
0 comments:
Post a Comment