 |
Mesut Ozil. |
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani Mesut Ozil amezungumza na waandishi wa habari baada ya kikosi cha msimu kutajwa na yeye kutokuwapo miongoni mwa wachezaji walichaguliwa. Ozil amesema yeye anaamini ni moja ya wachezaji bora kwa sasa duniani na hapati hofu kwa nini hajachaguliwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaounda kikosi cha msimu kwa sababu kwake tuzo za binafsi hazina maana kama timu yake haitashinda mataji. Ozil anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi za mabao kwenye ligi ya Uingereza baada ya kutengeneza nafasi 18 mpaka sasa.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment