 |
Uwanja wa Emirates jana. |
Jana Arsenal walikuwa wakicheza na klabu ya West Brom na walifanikiwa kushinda mchezo huo kwa mabao mawili kwa bila yaliyofungwa na mshambuliaji kutoka Chile Alexis Sanchez, pamoja na ushindi huo lakini mashabiki wengi wa Arsenal hawakuwepo uwanjani hapo kwa kile kinachoitwa wanadai mabadiliko ya kiungozi maana wamechoka falsafa za kocha wao Arsen Wenger. Baada ya mchezo huo Wenger aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo la mashabiki kutokuwepo uwanjani kama ilivyozoeleka na alijibu kwa kusema
"Njooni mtushangilie maana tunacheza kandanda safi na hicho ndio kitu cha msingi kwenye soka", Arsenal wamesogea mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment