Mourinho kuanza na Aubameyang.
-Tetesi za magazeti mengi leo ulaya zimeripoti juu ya uwezekano wa nyota wa Borrusia Dortmund Piere Aubameyang kusajiliwa na klabu ya Manchester United kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 70. Aubameyang amekuwa msaada mkubwa kwa klabu yake na amekwisha kupachika mabao takribani 25 kwenye ligi ya Bundesliga. Wachambuzi wengi wa soka wametabiri nyota huyo kutua katika klabu hiyo endapo Jose Mourinho atachukua mikoba ya Louis Van Gaal kwa kuwa Mourinho anafahamika kwa kupenda washambuliaji aina ya Aubameyang.
0 comments:
Post a Comment